Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Wanasema wamegundua yule ng'ombe anatabiri matokeo kinyume...alisema Ajax lakini ni man united wakaibuka mabingwa...sasa nasikia ametabiri madrid atashinda na kwenye FA chelsea atashindangoja tusubiri tuone kama ni kweli kwa sasa asichinjwe kwanza
Yule ng,ombe yuko sahihi katika utabiri wake!!Ng,ombe katabiri Ajax kaliwa!!kilicholiwa si kilikuwa ktk Chombo cha Ajax??maana yake Ajax ataliwa na kaliwa Kweli tena mapemaaaA
ngoja tusubiri tuone kama ni kweli kwa sasa asichinjwe kwanza


neno kuntu