Nimependa wanachokifanya man city kuondoa wachezaji ambao hawana mchango mkubwa sana kwenye timu au ambao wameona hawaendani na jinsi vile wanavyotaka timu icheze
Najua na man united tunao wachezaji ambao kiwango kimeshashuka, au hawana mchongo mkubwa tena kwa timu hivi sana na baadhi yao wakipokea fungu kubwa kila wiki
Baadhi ya wachezaji ambao inasemakana wataondoka man city ni
Paulo zabalet
Gaely clichy
Jesus navas
Bakary sagna
Willy cabalerro
Na yaya toure ambaye huyu labda wanaweza kumuongeze msimu mmoja kwa makubaliano ya kukata mshahara wake