Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Tatizo la Tuanzebe hapanui uwanja
Na kipgo juuTunakamilisha ratiba
Baada ya kuumia Fosu MensahHii inanikumbusha enzi za Louis Van Gaal tulipigwa tatu bila majibu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiungo Carrick na Rooney unategemea nini
Ni kweli Rooney na Carrick waliruka lakini wrong positioning hawakuona ndani. Sidhani Carrick kama ataongezewa mkataba ni mzigo mzitoKiungo Carrick na Rooney unategemea nini