unaujua mwenendo wa klabu wewe? au mpiga kelele tu? kama inakugusa pole
hujalazimishwa kusoma
christiano Ronaldo to torres: like Manchester united over liverpool, Real will always be over atleti
![]()
Zidane 17 months as a manager= 2 champions league finals
Wenger more than 20 years as a manager=1champions league final but according to arsenal fans he is a professor
![]()
Kwahiyo we ndio wa kuamua nani aweke nini?Mkuu Narudia Tena Kuwa Mpira Sio Mipasho!!! Jaribu kuonesha Uwezo Wako Katika uchambuzi Wa Soka na Mipasho na Majungu! Au ni Muimbaji wa Taarabu Wewe?
Yani Hujawahi Kuposti jambo Lenye Mchango Wowote Katika Soka Bali ni Mipasho tu.....
hivi we jamaa una shida gani na mimi wewe? usinitafutie balaa asubuhi yote hii, umesahau mlivokua mmeanza ligi mlivokua mnaidisi Manchester nyie? umesahau jina mnalotuita la manure? kinachokuuma we ni nini?Mkuu Narudia Tena Kuwa Mpira Sio Mipasho!!! Jaribu kuonesha Uwezo Wako Katika uchambuzi Wa Soka na Mipasho na Majungu! Au ni Muimbaji wa Taarabu Wewe?
Yani Hujawahi Kuposti jambo Lenye Mchango Wowote Katika Soka Bali ni Mipasho tu.....
achane nae huyo mkuuKwahiyo we ndio wa kuamua nani aweke nini?
christiano Ronaldo to torres: like Manchester united over liverpool, Real will always be over atleti
![]()
Nimbaya kuliko zote nilizowahi kuzionaOfficially away kit for reds next season ebu mdau weka maon yako hapa
![]()
Alishinda akiwa na liverpool au? maana hapa alizungumzia club sio NT.Lakini Tores ana kombe la dunia Ronaldo hajawai hata fika fainali.
On this day 3 years ago, These Liverpool fans and many more predicted that they'd win the title.
![]()
The rest is history
sasa mkuu unataka niwazungumzie leeds utd au? maana kama ni chelsea walaa sihangaiki nao mashabiki wenyewe waliopo bongo hata tukiwaingiza kwenye school bus hawataenea.sasa mbona unakomaa na liverpool na arsenal peke yao,
Ngoja aje yule anae lia lia mwenyewe
