ana stress huyo, wenzake Madrid wanainua makombe ye anainua JerseySo what???

Hahah mkuu hawa hawana lolote wacha waoaneana stress huyo, wenzake Madrid wanainua makombe ye anainua Jersey![]()
![]()




class of 92Hii jersey ni mbaya kinoma.
Inakaribia kufanana na ya jersey ya liverpool ya msimu wa mwaka jana.
Rangi nyeupe ndo best, ikifuatiwa na ya blue kwa mbali.
Kama Nyeusi ingekuwa nyeusi yote sio kuweka hayo maua.
Yeaaah mkuuclass of 92
![]()
![]()
ikitokea tumechukua ueropa, hata tukiwa wa sita, tutakua tumechukua makombe mawili na kucheza uefa bila play off, huku liverpool na arsenal wakifurahia kumaliza juu ya Manchester.
maana hayo ndio yatakua mafanikio yao ya msimu.
united:![]()
in 10 months.
Arsenal:![]()
in 10 years.
liverpool:in 10 years.
Arsenal fans: Manchester is the next liverpool.
liverpool fans: Manchester is a finished club.
Magoli ya kipuuzi sana jana tulifungwa!
unaujua mwenendo wa klabu wewe? au mpiga kelele tu? kama inakugusa poleHizi Threads Zimefunguliwa Kwa Lengo la Kuchambua Soka Na Mwenendo Wa Club Na Sio Mipasho....