Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
hii game nilipoona tumepigwa mbili za fasta nikazima tv nikaenda kulala
Kesho kuna gemu gani mkuuGGMU
Ushindi ni muhimu sana kesho
Kesho kuna gemu gani mkuu
Alijituma kwa kweliHuyu dogo acheze beki 4 na sio pemben

Mino Raiola,inasemekana jamaa alikuwa anaziwakilisha pande zote 3 (Juventus,Manchester United na Paul Pogba) .Jana kuna jamaa wa football leaks walitoa habari kuwa Raiola kama agent alipata £41m kwenye huo usajiliFIFA are to investigate the world-record transfer of Paul Pogba to Manchester United, a source at world football's governing body told AFP on Tuesday.
French midfielder Pogba was transferred for more than £89.3m (€105.2m) in August 2016 from Italian club Juventus.
Confirmation of the investigation came after French media reports said FIFA had opened an inquiry.
It is not yet clear what aspect of the transfer FIFA is investigating.
nimesoma hyo habari mkuu, inasemekana raiola hadi sasa kala £22.8m, na kuna nyingine kama £16.39m ambayo ingetolewa kwa awamu tatu kulingana na conditions walizowekeana, pia inadaiwa zlatan alikua anapokea £360kpwMino Raiola,inasemekana jamaa alikuwa anaziwakilisha pande zote 3 (Juventus,Manchester United na Paul Pogba) .Jana kuna jamaa wa football leaks walitoa habari kuwa Raiola kama agent alipata £41m kwenye huo usajili
mkuu hii ni away kit au third kit?Officially away kit for reds next season ebu mdau weka maon yako hapa
![]()
Hii jersey ni mbaya kinoma.Officially away kit for reds next season ebu mdau weka maon yako hapa
![]()
AwY kitmkuu hii ni away kit au third kit?
nauliza sababu mara nyingi mi najua hii black inakua ni third kit
Mkuu mbona hakuna mauwa hapo na hatuwezi kuwa na same Jersey kila msimu mkuu imetoleawa na Adidas so let's wait labda tutakuwa na thrd jitHii jersey ni mbaya kinoma.
Inakaribia kufanana na ya jersey ya liverpool ya msimu wa mwaka jana.
Rangi nyeupe ndo best, ikifuatiwa na ya blue kwa mbali.
Kama Nyeusi ingekuwa nyeusi yote sio kuweka hayo maua.