Newfame
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 485
- 1,134
Manchester United Vs Celta Vigo
Katika moja ya game za kuziangalia hii nayo si ya kukosa,Man U ya Mourihno imeshapoteza matumaini ya kuwa mmoja wa timu zitakazokuwa Top 4,Mourihno Vita ameihamishia kwenye Europa,ukiangalia Man U ilivyocheza katika ligi na Asernal utaona kabisa haikuwa na cha kupoteza,Kiakili Mourihno hakuutilia manani mchezo ule,alirelax alikubaliana na matokeo ya aina yeyote, hakuamini katika Ushindi ndio mana hakuwasumbua wachezaji wake,tulivyofungwa goli mbili alichofanya ni kuja kuzuia tusifungwe mengi Zaidi ndio mana alilazimika kufanya mabadiliko yale.
Game ya leo itakuwa ni game ya Vita,ni kama ile na Chelsea,Game plan,akili ya Mourihno MovemeMourohno,wachezaji na Matumaini ya Mashabiki ni kushinda game ya leo.
Sioni dalili na uwezekano wa kupoteza mchezo wa leo,Mou ameshawasoma Celta vigo vizuri na amefanya kazi yake vizuri kwa kujuwa all possibilities za kupoteza mchezo wa leo,hatoruhusu hilo litokee.
Leo kila mchezaji ana majukumu yake uwanjani na atacheza vile anavyotaka Mourihno,tunakumbuka kazi ya Herera kwa Hazard,alihakikisha Hazard hachezi na kupandisha timu yake,na kweli alifanikiwa ndio kitachofanyika Leo.
Tutegemee mabadiliko makubwa ya Man United kimchezo Leo,utapigwa mpira Mwingi sana leo,wachezaji wamepumzika vya kutosha kimwili na kiakili.
Celta de Vigo hawana cha kupoteza;wao ni kutafuta Ushindi tu,ndio utamu wa natch ya leo.
Leo Mourihno hakai chini muda wote wa Mpira.
Ila Mpira unadunda,uamuzi dakika tisini,ila Mou hajawahi kuniangusha katika Michezo ya namna hii,hajawahi kuniangusha anapokuwa na uhakika anapotoa kauli ya Ushindi.
Defencive ya Man U katika michuano hii ni ya uhakika,imeyumba kidogo baada ya Muhuni wa Ki Argentina Marcus Rojo kuumia,Lakini Ukuta wa Chuma chini ya Jemedari wa Kisenergal Eric Baily na uwepo wa David De Gea langoni unatuhakikishia ulinzi wa uhakika.
Tegemeo la Ushindi leo ni Marcus Rashford.
Man United 2 - Celta de Vigo 1.
Karibu Old T,Njoo