Zlatan napenda abakishwe ila awe anacheza baahi ya mechi na wakati mwingine kama super sub....Ashley Young
Wayne Rooney
Chris Smalling
Phill Jones
Fellain
Luke Shaw
Zlatan
Hawa wanaweza wasiwepo msimu ujao.
DeGea
Baily
Pogba
Mikhitayran
Rashford
Mata
Herera
Blind
Valencia
Rojo
Wana uhakika wa kuwepo msimu ujao
Carrick
Lingard
Darmian
Hawa wapo mguu nje mguu ndani.
Huyu dogo acheze beki 4 na sio pemben
Duuu hii picture inafurahisha sana. Asernal wao ni kuwapigia wenzao makofi tuVan Persie atabaki mioyoni mwetu Arsenal milele.
Nimehisi anaweza kutundika daluga ndo maana nimemuweka kwenye list ya wanaoondoka.Zlatan napenda abakishwe ila awe anacheza baahi ya mechi na wakati mwingine kama super sub....
Kama Sir Fergie alivyokuwa anawatumia kina Teddy Sherigham na Henrik Lasson ili kupata matokeo
Asiwe mchezaji tegemezi .....Hao wengine tunaweza kuwapa mkono wa kwaheri na wapongezi kwa kuwa watumishi wazuri wakati wakiwa Manchester United.
Daaah nimejikuta nacheka tu... Kwanini sasa iwe ivyoKichaa kinakuanzaa

waache na wao wafurahi banaUkweli lazima usemwe hata kama utauma bado tuna wajibu wa kusema.Mechi yetu na Arsenal Mwl alikosea mikakati ya ushindi tangu mwanzo.Lawama zote za kufungwa Jose lazima abebeshwe.