Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hii Manutd ni reserve team jinsi inavyopelekeshwa
Zaidi ya hatari mkuu.Kile kichwa cha Shaba Ranks si mchezo
Umejuaje kama ni 2 tu? Pengine muongezwe...teh!...teh! Pole sana.Loh tushalala 2 .
Tumekosa goli la wazi kabisa,daaaah!Umejuaje kama ni 2 tu? Pengine muongezwe...teh!...teh! Pole sana.
Mie wala sijipi pressure....nasubiria msimu ujao.Tumekosa goli la wazi kabisa,daaaah!

ndiyo mpira, uzuri hata mfanyeje hawachukui ubingwa na top four hawaingii ng'ooUmejuaje kama ni 2 tu? Pengine muongezwe...teh!...teh! Pole sana.
Mkuu si kwa kuchanganyikiwa huku embu soma kwa umakini ulichoandika, kwani mnaweza ingia top four kwa njia gani zaidi ya EPL?Top four finish leo ndiyo imeishia hapa kwa kupitia EPL
Nifah mambo!Tumekosa goli la wazi kabisa,daaaah!
arsen8.Mavi United![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona mlitoa zaidi ya 90 kwa Zhongba..!?hata mimi nakuunga mkono, nadhani hizo 80 ni nyingi sana kwa mtu kama Griezman bora hata Dyabala
Teh teh teh, ni vizuri kujipa moyoHii Manutd ni reserve team jinsi inavyopelekeshwa