Hii game ya leo Mou ndio alaumie kwa kiwango kikubwa,hakwenda Emirates kutafuta Ushindi, alishakubali kufungwa kisaikolojia,na hata game plan inaonyesha hivyo, amepanga kikosi ilimradi amepanga nia ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji.
Ona formation,aina ya wachezaji,baada ya kufungwa magoli mawili ya haraka haraka akachanganyikiwa,unamuingiza Rashford afu unamtoa Herera Seriously?
Darmiana amekuwa uchochoro kwa kiasi kikubwa.
Martial nafasi aliyocheza haikuwa sahihi na kumsababishia kucheza chini ya kiwango.
Rooney msimu ujao atafute timu.