mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Team bhado kabisa.
nimeona ile kamtengea mikhi akashindwa kumaliza. pia statistics zinaonyesha ametengeneza chances nyingi sana.Pogba ni wa kawaida sana mkuu...usiilaumu forward!
Unataka kuniambia Pogba anacheza vizuri kuliko Mikh na Rashford!??
nilikua nawakumbusha tu maana msumbufu sana ila leo katiwa kapunidah mbona umeanza na kuumbuka leo???? tujipe moyo aiseeee.
afadhali genk wangepita kuliko hawa wapuuzi eti iyo first eleven yao ya leo haijacheza mechi tatu za ligi ya spain ili kujiandaa kupambana na UnitedAtathibitiwa leo, ushindi wa ugenini mnono sana. Go MUFC
Mkuu na mm leo nimeshangaa sana afadhali wangecheza tu.afadhali genk wangepita kuliko hawa wapuuzi eti iyo first eleven yao ya leo haijacheza mechi tatu za ligi ya spain ili kujiandaa kupambana na United

Full time
Celta De Vigo 0-1 Manutd