Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Rashford apumzishwa Arsenal wajiandae kuisoma namba Jpili
Ni bao la pili linasakwaBora maurino kaliona hili
Dogo Rashford kichwa ngumu kweli huyu...umeona alivyokuwa akitoka uwanjani? Yaani katumia karibu dakika 2 kutoka: kwa kutembea kwa minato.Rashford out Martial in
Dakika za majeruhi ndo hizoooWasije ruhusu goli kama na Andeletch