Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Forward ya Man inamfanya Pogba aonekane wa kawaida. ingekuwa forward nzuri angekuwa na assists nyingi sana.
 
Forward ya Man inamfanya Pogba aonekane wa kawaida. ingekuwa forward nzuri angekuwa na assists nyingi sana.
Pogba ni wa kawaida sana mkuu...usiilaumu forward!

Unataka kuniambia Pogba anacheza vizuri kuliko Mikh na Rashford!??
 
Michael Owen anaoni Manutd walipata nafasi tatu hivyo wanaweza kushinda moja bila
 
Nionavyo

Celta De Vigo 0-2 Manutd (FINAL)

Na fainali ni

Manutd v. Ajax

Na ubingwa Manutd
 
Kama nimemkwaza mtu tusameheane kwenye hili
Anayekwazika usimjibu...hili jukwaa kila mtu yuko huru kutoa maoni yake. Cha maana usitukane.

Kama mimi hapo ulipojifumba macho ukajitekenya kuwa mtashinda Europa nimekusitiri tu lakini ni haki yako kujipa raha na kuota ndoto za alinacha.
 
Back
Top Bottom