mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Tuliwapiga hawa OT.....hatukutolewa na hii timu.Yule mbaya sana alitutoa msimu uliopita akiwa na mitjland anaitwa sistooo
Tuliwapiga hawa OT.....hatukutolewa na hii timu.Yule mbaya sana alitutoa msimu uliopita akiwa na mitjland anaitwa sistooo
Nimerekebish mkuu nlipitiwa a see hahaTuliwapiga hawa OT.....hatukutolewa na hii timu.
Atathibitiwa leo, ushindi wa ugenini mnono sana. Go MUFCyule mswahili wa celta vigo aliewaua genk nje ndani mnamkumbuka.... naona tunaumbuka leo
tulishindwa kuwafunga relegation folder Swansea ndio iwe celta vigo.I will be very frastrureted,kama hatutashinda leo,tena ushindi ambao upo comfortable..
Ila Rashford ni mchezaji mzuri. Anahitaji kuaminiwa tu zaidi.Nimeangalia dakika hizi za mwanzo tu, nafikiri hii game haitakuwa na magoli mengi. Huwezi kumfunga Celta kwa kubutua mpira mbele tu, inatakiwa game plan. Hii ni moja ya timu zinazosumbua La Liga wanaweza wakabadilisha mchezo any time