Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Yule dogo dembele ni hazina kubwaUpo sahihi mkuu....ingawa namuangalia Dembele naona kama mbeleni atakuwa mchezaji mzuri na bei yake itaenda juu sasa ni kwann tusimchukue sasa hivi akaanza kucheza pale taratibu bila pressure lakini pia kwa bahati mbaya maurino hawezi kufanya kazi na watoto kama hawa
Mbappe ni kweli hata mim namfananisha na Rashford naamini timu itakayo mnunua huyu watakuwa wamejipatia Rashford wao
