Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
wakuu hiv mata kashaponaa
Ya!Griezmann buy
£155=£74 (fee) + £(76-salaries for five years)
Wakuu Wangu...naomba tujiandae kisaikolojia kwa lolote.....top four huenda hatutaiona na celta Vigo huenda watatutoa!!tujiandae kuangukia pua wakuu!!majeruhi wanatuweka ktk nafasi finyu na vijana waliopewa nafasi wameshindwa kuzitendea haki nafasi walizopewa
Angalia hio medal isije ikarudi kwako hivi...maana jamaa kama kaongea uhalisia kabisa
Angalia hio medal isije ikarudi kwako hivi...maana jamaa kama kaongea uhalisia kabisa
Kabisa!Ya!
Tunahitaji mtu pale mbele wa amsha-amsha ili kuipa Nguvu safu ya ushambuliaji ya OT.