It will be a different atmosphere bruh!Maybe if Pogba and Mata will play...
Wakicheza kama leo...basi Arsenal wanatugonga.
United has been in good form away..Katika mechi 4 zilizobakia 3 ni za ugenini
Kina lingard msimu ujao wataelewa show wanazingua wakija watu wa kazi watacheza game za capital one labdaWachezaji wetu wabadilike hizi mechi zilizobakia lazima wafia timu wasicheze mradi tu wanacheza
Ila wao teyari wako top fourKidogo afadhal city nao 2 - 2 huko
yani hata mie baada ya kuona droo ya city kidogo nikaona afadhali. ila sijaifurahia droo yetu ya leo. ingawa ndiyo mpira.Kidogo afadhal city nao 2 - 2 huko
Kina lingard msimu ujao wataelewa show wanazingua wakija watu wa kazi watacheza game za capital one labda
Kinachowakuta wapinzani si mchezo, tungeshinda leo, full shangwe. Lkn mwenzako akinyolewa tia maji, tutakutana naoHuko kwa wengine washapigwa mbili ndani ya dakika mbili...

aina ya wwchezaji tulionao wanqchangia matokeo haya tutasajili watu wenye nia tutabeba EPL mwakanyani hata mie baada ya kuona droo ya city kidogo nikaona afadhali. ila sijaifurahia droo yetu ya leo. ingawa ndiyo mpira.