sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Mungu asaidie, tufanye usajili wa maana na kueleweka.aina ya wwchezaji tulionao wanqchangia matokeo haya tutasajili watu wenye nia tutabeba EPL mwakan
Mungu asaidie, tufanye usajili wa maana na kueleweka.aina ya wwchezaji tulionao wanqchangia matokeo haya tutasajili watu wenye nia tutabeba EPL mwakan
Ukisema pako panaungua kumbe pa jirani panateketea mimi nimeisha kwenda kuwahani kwa msiba huo.Huko kwa wengine washapigwa mbili ndani ya dakika mbili...
Mazee, United players wamecheza mechi nyingi kuliko City. I'm just saying, simaanishi kutetea matokeo. Lakini tuwe considerate. Top 4 bado ipo reachable kabisa.Ndio nakubali uchovu upo lakini wakicheza kwa malengo unapata matokeo. Mfano leo goal lilivyorudi wachezaji baada ya kuchukua mpira kwenda kuanza wote wameshika vichwa na kunyong'onyea angalia City wakifungwa au wakirudisha wanavyokuwa na haraka ya kupeleka kati mpira uanze
Andiko zuri sana ila utofauti tulionao mashabiki wa man utd ni kwamba tunataka mafanikio mapema mno hata Kama tutasajili world class lakini tuwe wavumilivu hata iyo spurs iliwachukua muda kuwajenga kina delle, Kane ,dier maana walikua wavumilivu na sprit kubwa sanaWachezaji hawa wanatakiwa waondoke,Rooney,Jones,Smalling,Ibrahimovic,Shaw,Carrick,Fellaini,Darmian..na tuwareplace na watu wenye uwezo mkubwa.Jamani si mnaona spurs wanavotandaza mpira viungo wakipata mipira wanadrive vizuri kuelekea mbele,sisi viungo wetu e.g carrick hawezi kufanya hivy,ye ni kurudisha tu mpira nyuma.Rashford ana uwezo sema papara nyingi inabidi tutafute world class straiker.Pogba yupo vizuri hata pengo lake linaonekana mechi mbili hizi ambazo hakucheza.
Full beki left inabidi tutafute mtu mwenye kaliba kama ya Evra au Marcelo,sio hawa ambao hata krosi hawawezi kupiga..Rojo na Bailly ndo watu ambao wabaki pale center defence,tuongeze na wengine sio hawa kina smalling,akirudi Michael Keane itakuwa vizuri sana
We have to fight kuwapata watu kama kina Griezman,James,Rodrigez,Trippier wa spurs
Umefika mda tutengeneze kikosi cha ushindi sio wachezaji wanaokuwa kama wanabaatisha leo yuko form kesho ovyo..Kikosi cha Spurs ni mfano hai wa kikosi cha ushindani..
Ni hayo tu..
Nimekuelewa. Ila kuitaka United ijifunze kwa Spuds ni insult.Wachezaji hawa wanatakiwa waondoke,Rooney,Jones,Smalling,Ibrahimovic,Shaw,Carrick,Fellaini,Darmian..na tuwareplace na watu wenye uwezo mkubwa.Jamani si mnaona spurs wanavotandaza mpira viungo wakipata mipira wanadrive vizuri kuelekea mbele,sisi viungo wetu e.g carrick hawezi kufanya hivy,ye ni kurudisha tu mpira nyuma.Rashford ana uwezo sema papara nyingi inabidi tutafute world class straiker.Pogba yupo vizuri hata pengo lake linaonekana mechi mbili hizi ambazo hakucheza.
Full beki left inabidi tutafute mtu mwenye kaliba kama ya Evra au Marcelo,sio hawa ambao hata krosi hawawezi kupiga..Rojo na Bailly ndo watu ambao wabaki pale center defence,tuongeze na wengine sio hawa kina smalling,akirudi Michael Keane itakuwa vizuri sana
We have to fight kuwapata watu kama kina Griezman,James,Rodrigez,Trippier wa spurs
Umefika mda tutengeneze kikosi cha ushindi sio wachezaji wanaokuwa kama wanabaatisha leo yuko form kesho ovyo..Kikosi cha Spurs ni mfano hai wa kikosi cha ushindani..
Ni hayo tu..
Mkuu nimeongelea suala la wachezaji baadhi wenye ubora kama Dele ali,Tripier,Dier,na sio hawa wakwetu ambao tunawaoverate ila kazi yao uwanjani bado ni ndogo kuwawezesha wao kuwepo kwenye moja ya klabu kubwa duniani..Nimekuelewa. Ila kuitaka United ijifunze kwa Spuds ni insult.
Tuna wachezaji wengi sana ambao ni below average shame mishahara yao ni mikubwa sana,Mkuu mi mwenyewe natamani kuona hao wakiondoka sio kwamba wote sio wachezaji wazuri bali tu nahisi tunahitaji zaidi ya tunachokipata kutoka kwa hao wachezaji kwa sababu ukiangalia mchezaji kama Jones na Luke shaw ni wazuri sana ila sasa kila baada ya mechi kadhaa wakuwa wanauguza majeraha
Mchezaji kama carrick bado yuko poa ila umri ushamtupa mkono...Rooney naye sikuhizi amekuwa mtu wa kugombana na marefarii na hakuna contribution kubwa anayoifanya uwanja tena
Mkubwa fella ni mzuri ila sio wakucheza pale man u ingawa maurino anajitahidi kutuaminishi vinginevyo
Lakini pia kwa upande mwingine mi naweza nikamlau maurinyo maana kauza wachezaji kakifanya kikosi kimekuwa kidogo akasahau kwamba ukicheza na wachezaji wale wale kila siku ni hatari sababu wanachoka na inakuwa rahisi kwao kuumia. Maurino inabidi akubali kufanya kazi na kikosi kikubwa maana timu kama Man united inacheza game nyingi mfano mzuri ni msimu huu
mbappe wa nini mkuu wakati tuna Rashford? zaidi ya huu msimu sijawahi msikia kabla huyu mtoto.Naogopa kusema Maurino afikirie kumleta mtu kama Dembele(dortmund), mbappe(monaco) maana kiukweli uchezaji wa hawa vijana mi unanikosa lakini tatizo ni kwamba wote hawa ni wadogo nikimaanisha kiumri na hata muda wao wa kucheza timu kubwa na mashindano makubwa( experience).
Lakini ni wachezaji ambao binafsi ningependa wakipige man united sababu ukiangalia spidi ya hawa wawili halafu uongeze na ile spidi ya Rashford pale mbele pangekuwa hapatoshi.
Safi kabisa uko sahihi mimi naona griz hawezi kuwika akiwa O.T bora tushushe wagumu Kama LukakuMsimu haujaisha japo kiuhalisia top four lazima kazi kubwa ifanyike,, best option ni Europa lakin changamoto ya majeruhi pia inaweza haribu hesabu,,
Tukifanikiwa kufuzu UCL timu inatakiwa ijengwe kikamilifu,, maoni yangu tuwapate wafuatao,,
1. GKs Oblak kama de gea ataondoka,,
2. DFs keane/lindeolof/jimenez wasaidiane na bailly, rojo, mensah na tuanzebe,, pia pemben abaki valencia, blind na shaw japo nae siamin kama atakuja rudia ubora wake,,
3.DMs verrati/radja/bakayoko,, hapa hatuuna mtu kabisa,,
4. CMs marek hamsik/benard silva wasaidiane na herrera na dogo perreira,,
5. AMs ypo pogba, mkhi, na mata hivyo james rodriguez hana nafas kabsa,,
6.CF belloti/lukaku watasaidiana na martial na rashifod,,
Hii pia itategemea na mfumo mfano kama n 4-4-2 bas aletwe winga mwenye spid kama lemar wa monaco upande wa kushoto kulia mkhi,,
kama ni 4-3-3 viungo watat atasimama hamsik herrera na silva mwiso pogba belloti na mkhitaryan,,
Naomba kuwasilisha,,,
Braza, naomba nikuulize: umetumia vigezo gani kufikiri hao uliowataja watafaa United? Unaelewa timu ina mtu anayelipwa mshahara kufanya scouting ya wachezaji? Ina maana wewe una resources kama alizo nazo huyo mtu mpaka useme hao uliowataja wanafaa kwa United?Tuna wachezaji wengi sana ambao ni below average shame mishahara yao ni mikubwa sana,
Rooney
Lingard
Smalling
Jones
Blind
Fellain
Darmian
Young
Hawa wote wanatakiwa waondoke,
kama zlatan ataondoka (and thats my wish) tumlete striker anae eleweka. (Bellot, Aubemayang, lukaku) au winger anaeweza kufunga kama sanchez. Nina uhakika AG hatakuja msimu huu na hata akija yule sio mzuri akicheza kama lone striker, ni mzuri sana akicheza kama second striker au 10.
Tumpate mbadala wa carrick, (Weigl, cyprien au saul are ok)
kama shaw atauzwa basi tutafute proved LB kama kursawa, Rodriguez, Alex sandro au Theo hernandez japo madrid na Barcelona wanamtolea macho.
Tupate CB mwingine wa kushirikiana na bailly, Rojo kafanya vizuri msimu huu lakini sio mchezaji wa kuwa first IX ya club kama Manchester,
Mwisho hata tukipata RB wa kushirikiana na Valencia sio mbaya.
kwahiyo ni sehemu kama nne ambazo zinatakiwa marekebisho (LB, CB, CDM na CF) pia nae mou anatakiwa atafute mfumo ambao utaweza kuwa favour key players wetu kama pogba, pogba ni mzuri sana akicheza kwenye viungo watatu akitokea kushoto (4-3-3).