The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Hivi tuazebe hawezi kucheza nafasi ya blind? Maana blind Leo utakuwa uchochoro kabisaBlind hana mbio akina Aguero na De bruyne watampelekesha sana
Hivi tuazebe hawezi kucheza nafasi ya blind? Maana blind Leo utakuwa uchochoro kabisaBlind hana mbio akina Aguero na De bruyne watampelekesha sana
Umefungwa wewe siyo cc
Anaweza lakini Mourhnio huthamini uzoefu zaidi kwa hiyo Blind ataanza na TuanzebeHivi tuazebe hawezi kucheza nafasi ya blind? Maana blind Leo utakuwa uchochoro kabisa
Sahihi kabisa,Blind anamapungufu mengi akicheza namba 4,kuliko namba 6,na kwa kuwa Rojo ni majeruhi na hatuna mbadala wake,moja kwa moja Blind anapata nafasi so leo anatakiwa kuwa makini sana hasa kwenye counter attack,City Wana Watu wazuri na wepesi kwenye nafasi za ushambuliaji.Blind hana mbio akina Aguero na De bruyne watampelekesha sana
kwa mfumo na aina ya mpira na wachezaji/Viungo waliopo pale united kwa sasa,Chicharito atatufaa Zaidi kuliko Griezman.Chicha kwa mtazamo wangu
Mkataba wake unakipengele cha yeye kucheza dakika zote anapokuwa fit na Evaluation yake itafanyika baada ya msimu mmoja.Kama mi ndo mou pogba hata angekuwa mzima asingecheza
Haaa haaa haaa humjui Mou, huwa hafungwi mara mbili au tatu mfululizo na kocha mmoja,anamfahamu vizuri sana Gurdiola na anazifahamu mbinu zake,ameshajuwa udhaifu wa Pep kutokuwa na aina ya wachezaji watakaomfanya atumie mifumo yake.
2200 usikuWakuu mechi ya leo xaa ngap..???