D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
griezman yupo vizuri sana.ivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...
griezman yupo vizuri sana.ivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...
Nadhani hili kwenu ni kama kombe la ligi...wiki ishaisha bado tuView attachment 497553 Mkata umeme!
Belotti overpriced but Griezmann the price is right![]()
Manchester United are reportedly eyeing up a summer double swoop for Torino's Andrea Belotti and Atletico Madrid's Antoine Griezmann—which could cost the club up to £170M!
Kweli Belotti hiyo bei siyo ya soko sanasana £35millhivi vyombo vya habari vya ulaya vinapaswa vituonelee huruma wapenzi wa manchester united, ni kweli timu ina mapungufu ila uvumi mwengine umezidi,
yaani belotti ana thamani ya pound million 84 haliyakuwa hana maajabu yoyote ya kimpira na sijaona tofauti yoyote kati yake na vardy.
ni bora arudishwe chicharito kuliko belotti.
ila ni mtazamo wangu tu nisije nikaambulia lugha yenye kuudhi
Griezmann yuko juu sana Chicharito ni kuvizia zaidi kuliko kupanga ngomeivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...
Ni kikosi cha ushindi hichoConfirmed United squad members vs Man City
David de Gea
Sergio Romero
Joel Pereira
Antonio Valencia
Timothy Fosu-Mensah
Matteo Darmian
Eric Bailly
Axel Tuanzebe
Daley Blind
Luke Shaw
Marouane Fellaini
Michael Carrick
Ander Herrera
Ashley Young
Jesse Lingard
Henrikh Mkhitaryan
Marcus Rashford
Anthony Martial
Wayne Rooney
Ni kikosi cha ushindi hicho
Chicha kwa mtazamo wanguivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...
Chicharito, Kwanza anaijua EPL tofauti na Griez. Griez anaweza kuja EPL ikamshindaivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...
SwadaktaaarChicharito, Kwanza anaijua EPL tofauti na Griez. Griez anaweza kuja EPL ikamshinda
Kama mi ndo mou pogba hata angekuwa mzima asingecheza
I wish thatHii game carrick acheze 6 herrera 8 fellaini 10 pembeni martial na mikhy then 9 dogo rashford