Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ningependa Tuanzebe aanze badala ya Blind lakini nimjuavyo Mourhnio hilo haliwezekani labda mtu atumie vinginevyo uzoefu utaongoza
Tatizo ni uzoefu na hii mechi ina presha sana. Kumchezesha ni sawa na kumtesa kisaikolojia.
