The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
SAA NNE kamili ucku wa Leo (22:00)Wakuu mechi ya leo xaa ngap..???
SAA NNE kamili ucku wa Leo (22:00)Wakuu mechi ya leo xaa ngap..???
Pamoja sanaSahihi kabisa,Blind anamapungufu mengi akicheza namba 4,kuliko namba 6,na kwa kuwa Rojo ni majeruhi na hatuna mbadala wake,moja kwa moja Blind anapata nafasi so leo anatakiwa kuwa makini sana hasa kwenye counter attack,City Wana Watu wazuri na wepesi kwenye nafasi za ushambuliaji.
Saa nyingine natamani leo Carrick acheze full back akisaidiana na Baily kama namba 4 wake.
Mbele tukaweka Viungo na washumbuliaji Wenye kasi Zaidi.
28yrs???kwa mfumo na aina ya mpira na wachezaji/Viungo waliopo pale united kwa sasa,Chicharito atatufaa Zaidi kuliko Griezman.
Nitafurahi Zaidi tukimsajili Chicharito mana tunaenda kutengeneza mchezaji mkubwa Mwingine ambaye vilabu vikubwa vitamgombania kama ulivyokuwa kwa CR7
Ingawa Griezman ni Fundi by nature.
Alexandre Song na Suley MuntariJamani Ibra ni muungwana sana kakataa kuongezewa mkataba mnono wa £250, 000 per week kwa madai haoni kama anastahili hadi apone. Wangapi wangeweza kukataa huo ugali?
Ningependa Tuanzebe aanze badala ya Blind lakini nimjuavyo Mourhnio hilo haliwezekani labda mtu atumie vinginevyo uzoefu utaongoza
Ningependa Tuanzebe aanze badala ya Blind lakini nimjuavyo Mourhnio hilo haliwezekani labda mtu atumie vinginevyo uzoefu utaongoza
Kama mi ndo mou pogba hata angekuwa mzima asingecheza
Mkataba wake unakipengele cha yeye kucheza dakika zote anapokuwa fit na Evaluation yake itafanyika baada ya msimu mmoja.
Hope mwakani asipojituma na kuonyesha thamani yake basi bench litamuhusu kama tutafanya usajili mwingine katika nafasi yake,now hana mbadala ndio mana anakata viuno tu uwanjani.
Pogba ni mchezaji mzuri sana Zaidi tunavyomjuwa,namfatilia toka akiwa kinda United pale na mafanikio yake kule Juve lakini sijajuwa nini tatizo tangu aje United ameshindwa kuonesha kipaji chake halisi.
Ila ni Fundi hasa dimbani hasa akiwa dimba la Juu nyuma ya washambuliaji.
Ukiniuliza best attacking midfielder in EPL chaguo langu ni Herrera na wala siyo Kante