Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Belotti? Badala ya Rashford?
Habari yake imeisha..tuingie sokoni sasa tulete watu kama griezman,james rodrigez,na bakayoko..Nionavyo na kwa uzoefu wa majeraha ya goti na umri wa Ibra nahisi ndo tumemalizana sioni Mourhnio akimuongezea mkataba mwingine
James Rodriguez sidhani kama ana wasifu tunaoutakaHabari yake imeisha..tuingie sokoni sasa tulete watu kama griezman,james rodrigez,na bakayoko..
dogo yupo vizuri lakiniJames Rodriguez sidhani kama ana wasifu tunaoutaka
Gud news aiseh bora tufanye usajili wa nguvu ila Belotti xjawahi muona akicheza na clips zake nimeona mzuri ila sio saaana sijui imekaaje hii![]()
Manchester United are reportedly eyeing up a summer double swoop for Torino's Andrea Belotti and Atletico Madrid's Antoine Griezmann—which could cost the club up to £170M!
hivi vyombo vya habari vya ulaya vinapaswa vituonelee huruma wapenzi wa manchester united, ni kweli timu ina mapungufu ila uvumi mwengine umezidi,![]()
Manchester United are reportedly eyeing up a summer double swoop for Torino's Andrea Belotti and Atletico Madrid's Antoine Griezmann—which could cost the club up to £170M!
ivi chicha na griez yupi bora maana hawa wote very good poachers. ...hivi vyombo vya habari vya ulaya vinapaswa vituonelee huruma wapenzi wa manchester united, ni kweli timu ina mapungufu ila uvumi mwengine umezidi,
yaani belotti ana thamani ya pound million 84 haliyakuwa hana maajabu yoyote ya kimpira na sijaona tofauti yoyote kati yake na vardy.
ni bora arudishwe chicharito kuliko belotti.
ila ni mtazamo wangu tu nisije nikaambulia lugha yenye kuudhi