Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Morinho awaachie tu, sioni ana kipaji cha iivo, ni mshambuliaji wa kawaida tu, kwa maoni yangu amfikii chicharitoTangia wasikie tunamsaka kumsajili Antoine Griezmann hawa ManCity nao eti wanamhitaji
PoleniHazard keshaharibu shughulingoja tuone kama watafanya kitu spurs.
Haaaaaaaa kilio nyembamba baada ya bao la nneWoiiiiii!! La nne wakwendreeeee zaooooo!!! Mxieuwwwwwwwwwwwwwwwww !!!
Everlenk Mpira siyo kama unavyodhania . Kumfunga chelsea goli 2 haimanishi kufungwa n.a. Spurs. Unajua ukiweka mahaba kwenye timu fulani lazima utoke n.a. aibu n.a. ndo iliyowatokea washabiki wote wa manure, Arsenal na looserfool. Hawa wote wanajua mziki wa Chelsea. By the way naamini hata ukikutana na Chelsea Leo humfungi tena. Labda ukishinda draw. Tukutanane next season leo huna chako Fa Cup n.a. Epl.Hahahhaha mimi hata youtube naitafuta now now inisuze moyo!!.... wameniudhiii kweli hawa spurs!, na sisi tuje tuwafunge tu hivi virent boyz wacha viwe vishindi hamna namna, maana mechi hii ilikuwa yao full squad,wametawala game,vimakosa vyao vimewakost wameshindwa kunilipia kisasi sasa adhabu yao EPL tuwatandike nyingi nyingi wakome!!hahahhahahaha ......
Angalia na Ile uliyofungwa 4 darajani husisahau tafadhaliKaribu tunaangalia highlights za mechi zetu, tuko kwenye goli la Herrera
Nime Download video ya lile gaol. Naicheki mara kwa maraMimi natamani iwe hapa kama wall paper yetu kila saa naiona![]()
.
mashabiki wa arsenal ni maadui wakubwa sana wa Tottenham, mechi yoyote ambayo Tottenham anacheza lazima wawe upande tofauti, haijalishi ni Chelsea, Manchester, liverpool, Bayern, Bvb, madrid au Barcelona.Everlenk Mpira siyo kama unavyodhania . Kumfunga chelsea goli 2 haimanishi kufungwa n.a. Spurs. Unajua ukiweka mahaba kwenye timu fulani lazima utoke n.a. aibu n.a. ndo iliyowatokea washabiki wote wa manure, Arsenal na looserfool. Hawa wote wanajua mziki wa Chelsea. By the way naamini hata ukikutana na Chelsea Leo humfungi tena. Labda ukishinda draw. Tukutanane next season leo huna chako Fa Cup n.a. Epl.
Hivi ilikuwa mwaka gani? Mshirika wake up this is 2017. Hatujafungwa tena epl since sio Chelshi sio timu yoyote, i think ushapata picha tunaelekea wapi.Angalia na Ile uliyofungwa 4 darajani husisahau tafadhali
Chicharito ni diliMorinho awaachie tu, sioni ana kipaji cha iivo, ni mshambuliaji wa kawaida tu, kwa maoni yangu amfikii chicharito