Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ahahah kuongoza ligi? Hauwezi kuongoza ligi uku hauna wachezaji wa kufunga magoli. Angalia jinsi wachezaji wa Spurs wanavyofunga magoli. Lazima kuwe na uwiano mzuri wa magoli kwa washambuliaji wetu. Zlatan kafanya makubwa na sio wakubeza.Niambie gemu ambazo hakucheza zlatan tulipoteza point ngapi, mi naona gemu ambazo hakuepo ndo tulichukua point 3 kirahisi, ishu sio kafunga magoli mangapi, ishu ni katengenezewa nafasi ngapi za wazi kapoteza, kama asingekuepo naamini tungekua tunaongoza ligi
ngoja tuone kama watafanya kitu spurs.