Jamani Griezman si naskia anasaini mkataba mpya atletco na yeye kasema asihusishwe kabisa na man u ..???Griezmann na Lukaku wako kwenye orodha ya wasajiliwa watarajiwa ya Mourhnio
Naneno tu yale, ukiwekwa mpunga wa maana atakula matapishi yakeJamani Griezman si naskia anasaini mkataba mpya atletco na yeye kasema asihusishwe kabisa na man u ..???



Chelsea sasa ni visingizo kwa nini walifungwa