Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Anderlecht XI vs. Man Utd: Rubén; Appiah, Mbodji, Spajic, Obradovic; Tielemans, Dendoncker, Hanni; Chipciu, Teodorczyk, Acheampong.
Naona Herera na degea wamepumzishwa kidogo.. Safi hii square rotation
Man United tunashinda Hii match ya leo. 3 - 1
Nimekiona kikosi cha awali,sijajua kwanini leo Mou hamuanzishi Ander Herrera.
Mfumo wa leo pia?
Kiungo cha Carrick,Show na Pogba naona timu ikipunguza kasi katika eneo la kiungo ikitumia sana mawinga
Utakufa wewe na bibi zako man u utaiachaMavi United afe tu
Kama Rashford atakuwa katika kiwango cha game ya Chelsea na Miki akiwa katika fomu yake katika game hizi za Europa basi shughuli itakuwa pave,naomba Utulivu kwa LingardMabeki Wa anderlect wakae mguu sawa.. Huku mkhi..kule Rashid, katikati abrakadabra
Herrera pia ana yellow card akipata another yellow atakosa first leg ya nusu final kama United watafuzuHerrera anaitaji mapumziko kwa kazi aliyoifanya jumapili halafu Herrera hana stamina kama ya Pogba.
Mpira umeanza[QUOTE="Rutashubanyuma, post: 20702643, member:
Tunaomba updates na Leo, tunakutegemea mdau