Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-04-19-21-18-43.png
 
Wewee acha kabisa habari hizo. Man of the match sio lazima afunge goli. Fellaini ndio kila kitu ingawa hamumpendi
Fella alikichafua sana pale kat ile mech anajua sana sema uslow wake tu ndo tatzo
 
Manchester United topped Deloitte's Football Money League for the first time since 2003/2004 after a 30% growth in revenue.

United's strong commercial growth saw their overall turnover rise to £515m, making them the world's highest revenue generating club.

Overall, Premier League clubs saw revenues rise to a record £3.6bn in 2015-16, according to Deloitte, but posted pre-tax losses overall.

Manchester United top Deloitte's Football Money League
 
ila jamani soka ya siku hizi ni mipango uwanjani...kucheza mwenyewe kwa akili yako labda uwe unatupia mpira katika kamba kama huna akili nzuri....Jana nilishangazwa sana na namna Mandzukic alivyokuwa anacheza ktk mechi na Barcelona...yaani kama sio forward kabisa..kumbe alikuwa anatekeleza mipango ya kocha kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom