Mkuu mimi nagombana na mashabiki wasiotaka kusikia mawazo ya wenzao, yaani wanaojifanya wao tu ndo wanajua kuanalyse mpira, ukinifuatilia mwanzo utagundua hilo, sasa wewe mtu anakuambia uhame timu eti kwa sababu umeongea kitu tofauti na anavoamini yeye, sasa huo si ujinga? Hakuna mtu mwenye haki ya kumpangia mwengine humu cha kuandika, sote ni mashabiki tu wa kawaida, kama hukubaliani na mawazo ya mwengine kaa kimya na wala usilazimishe sote tuamini unavoamini wewePovu lote la nini mkuu? Jamaa katoa analysis yake kistaarabu bila hata kebehi, ila mkuu dah jaribu kuwa na busara. Comments zako nyingi sana huwa unatumia lugha isiyo rafiki. We are all United ujue. We are not like em rent boys wazee wa lugha mbofu mbofu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Huyo Manara ametishaha ha ha ha ha watu wana maneno!
Naangalia Mourinho masterclass kwa mara ya tatu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Huyo Manara ametisha
baada ya kufungwa na chelsea kwenye FA cup nakumbuka niliandika ndani ya thread hii ya kwamba hatuwezi kuifunga chelsea kama tunashindwa kumzuia eden hazard namshukuru jose huko aliko amekisikia kilio changu.
kama tutarudisha kumbukumbu kwenye mechi ya FA cup utagundua ya kwamba mourinho alimpa jukumu phil jones kupambana na hazard ila alishindwa kumdhibiti jambo ambalo lilipelekea madhara makubwa sana kwenye ile mechi kabla hata ya herrera kupewa kadi nyekundu, tofauti na mechi ya jana mourinho jukumu lile alilihamishia kwa midfield ambaye ni herrera (one man mark) kumdhibiti hazard na kiukweli herrera hata asingefunga goli na kutoa assist mimi ningelimchagua kuwa ni man of the match kwa jinsi alivyofanikiwa kumdhibiti eden hazard.
hazard ndie mchezaji ambaye amehusika katika utengenezaji wa mabao mengi na ndie kiungo aliyefunga mabao mengi. popote aliposimama hazard jana mita chache nyuma alisimama herrera jambo ambalo liliua counter attack style ya chelsea, style hii niliwahi kuishuhudia miaka kama 10 iliyopita wakati gattuso (jesus) anamdhibiti cristiano ronaldo ndani ya san siro.
pia jambo jengine alilofanikiwa jose ni kuwatumia lingard na rashford kama ni striker force na kukosekana kwa alonso ilikuwa ni tatizo kubwa sana halafu cha kusikitisha zaidi nimegundua central defence ya chelsea ni wazito sana.
pia jose alicheza karata yake vizuri sana baada ya kumuingiza carrick kwa sababu uwepo wa fabregas kulisababisha chelsea kubadili style na kucheza 4+2+3+1 na ukiangalia baada ya carrick kuingia timu ilibadili style na kucheza 5+1+2+1 ambapo kama kawaida herrera aliendelea na kujukumu lake la kumzuia hazard.
hazard kipindi cha mwanzo hakuweza kutengeneza nafasi hata moja, hakupiga shoot hata moja wala hakuweza ku dribble hata mara moja lakini ukimuangalia herrera 100% alifanikiwa kwenye tackle.
kiukweli kwa mambo aliyoyafanya jana jose mourinho ametukata mdomo sisi sote mashabiki maandazi na nimejigundua mimi binafsi sijui chochote kuhusiana na mpira na sistahili kuwa mshabiki wa mpira naamini hata humu wamo mashabiki kama mimi ambao hata tiketi original ya kuangalia mpira old trafford hawajawahi kuiona na wala hawajawahi kufika hata AON Complex ila ni mabingwa wa kukejeli tactics za mourinho, nimejaribu kuzipitia comment zote kuanzia page ya 366 naamini wapo member ambao wanatamani comment zao wazifute kutokana na maneno walioaandika, ila naamini yote inatokana na khofu na moyo wa dhati wa kupenda kuona timu yetu inafanikiwa.
kuanzia leo
tumuache jose mourinho afanye kazi yake ila heshima kwenu
- sitalalamika tena eti kwa sababu gani jose anampanga lingard na hata akiamua kumpa tena mkataba wa pound 200000 kwa wiki sitalalamika kwa sababu yeye ndie anafahamu kuhusiana na ubora wa lingard.
- sitalalamika tena kwa nini jose anampenda fellaini
- sitalalamika tena kwa nini martial hapewi nafasi
RRONDO
kisu cha ngariba
Belo
naamini ndani ya thread hii nyinyi ni washabiki wakweli wa manchester united
kweli mkuu, watu wameacha kuchambua mechi hata kuweka updates wanasubiri fulani aposti nimjibu kwa shombo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umeua....
Mkuu lazima umchukie huyu..ile mechi uliyopigwa 8-2 huyu ndio alikuwa engineer wa magoli 6 [emoji23] [emoji23]Kafanya nn cha maana ? Unaongea 7bu man kashinda ! Kacheza mechi ngap mpk leo ndo 2mkubali ? Na ndo mcmu wake qa mwisho huu huyu kuli wako
Wewee acha kabisa habari hizo. Man of the match sio lazima afunge goli. Fellaini ndio kila kitu ingawa hamumpendiMan of the Match leo wamekuwa wawili kwangu mimi Ni Herrera na Rashford japo herrera atapewa ila kazi ya Rashford si ya kitoto leo kugeuka mbele ya beki 4
Mkuu unajua sana mpiraKwangu mimi man of the match ni FELLAIN
Kwani tumefungwa?Out of three games mmeshinda one game...ila kelele zake sasa duuh
Kaka umenena sanabaada ya kufungwa na chelsea kwenye FA cup nakumbuka niliandika ndani ya thread hii ya kwamba hatuwezi kuifunga chelsea kama tunashindwa kumzuia eden hazard namshukuru jose huko aliko amekisikia kilio changu.
kama tutarudisha kumbukumbu kwenye mechi ya FA cup utagundua ya kwamba mourinho alimpa jukumu phil jones kupambana na hazard ila alishindwa kumdhibiti jambo ambalo lilipelekea madhara makubwa sana kwenye ile mechi kabla hata ya herrera kupewa kadi nyekundu, tofauti na mechi ya jana mourinho jukumu lile alilihamishia kwa midfield ambaye ni herrera (one man mark) kumdhibiti hazard na kiukweli herrera hata asingefunga goli na kutoa assist mimi ningelimchagua kuwa ni man of the match kwa jinsi alivyofanikiwa kumdhibiti eden hazard.
hazard ndie mchezaji ambaye amehusika katika utengenezaji wa mabao mengi na ndie kiungo aliyefunga mabao mengi. popote aliposimama hazard jana mita chache nyuma alisimama herrera jambo ambalo liliua counter attack style ya chelsea, style hii niliwahi kuishuhudia miaka kama 10 iliyopita wakati gattuso (jesus) anamdhibiti cristiano ronaldo ndani ya san siro.
pia jambo jengine alilofanikiwa jose ni kuwatumia lingard na rashford kama ni striker force na kukosekana kwa alonso ilikuwa ni tatizo kubwa sana halafu cha kusikitisha zaidi nimegundua central defence ya chelsea ni wazito sana.
pia jose alicheza karata yake vizuri sana baada ya kumuingiza carrick kwa sababu uwepo wa fabregas kulisababisha chelsea kubadili style na kucheza 4+2+3+1 na ukiangalia baada ya carrick kuingia timu ilibadili style na kucheza 5+1+2+1 ambapo kama kawaida herrera aliendelea na kujukumu lake la kumzuia hazard.
hazard kipindi cha mwanzo hakuweza kutengeneza nafasi hata moja, hakupiga shoot hata moja wala hakuweza ku dribble hata mara moja lakini ukimuangalia herrera 100% alifanikiwa kwenye tackle.
kiukweli kwa mambo aliyoyafanya jana jose mourinho ametukata mdomo sisi sote mashabiki maandazi na nimejigundua mimi binafsi sijui chochote kuhusiana na mpira na sistahili kuwa mshabiki wa mpira naamini hata humu wamo mashabiki kama mimi ambao hata tiketi original ya kuangalia mpira old trafford hawajawahi kuiona na wala hawajawahi kufika hata AON Complex ila ni mabingwa wa kukejeli tactics za mourinho, nimejaribu kuzipitia comment zote kuanzia page ya 366 naamini wapo member ambao wanatamani comment zao wazifute kutokana na maneno walioaandika, ila naamini yote inatokana na khofu na moyo wa dhati wa kupenda kuona timu yetu inafanikiwa.
kuanzia leo
tumuache jose mourinho afanye kazi yake ila heshima kwenu
- sitalalamika tena eti kwa sababu gani jose anampanga lingard na hata akiamua kumpa tena mkataba wa pound 200000 kwa wiki sitalalamika kwa sababu yeye ndie anafahamu kuhusiana na ubora wa lingard.
- sitalalamika tena kwa nini jose anampenda fellaini
- sitalalamika tena kwa nini martial hapewi nafasi
RRONDO
kisu cha ngariba
Belo
naamini ndani ya thread hii nyinyi ni washabiki wakweli wa manchester united
Kama huoni mchango wa limgard Utakua na matatizo mkuu no offenceTuambie huyo lingard nini kafanya mechi ya jana, na sio ya jana tu lete mechi yoyote lingard aliocheza vizuri, pale hamna mchezaji pale, usione kwa sababu timu imeshinda ndo imeficha udhaifu wake, hana mchango wowote kwenye timu,
Huyo prondo mwenyewe alishakata tamaa na kikosi baada ya kuona kikosi kilichoanza, fuatilia kabla ya mchezo alisemaje baada ya kuona kikosi, halafu achen ushamba, kupita karibu na kiwanja cha mazoezi cha manchester au kuona tiketi og hakukufanyi wewe kujua kuuzungumzia mpira kuliko wengine, mnajishaua kwa sababu tu mliwahi kupita karibu na AON complex, huo ni ushamba