Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

AW nisaidie kuhesabu magoli...yakifika 5 omba poa
 
Ni mapema mno kuwakatia tamaa, ukifuatilia mechi zao wamekuwa wakitangulia kufungwa kwanza ila leo itakuwa kazi. Unapopambana na mzee mwenzio inabidi uwe unabadili mbinu, kwa mbinu hii kuna hatari wapenzi wa Chelsee wakalala mapema leo.
 
Pamoja wakuu, tufanye kweli leo, kiasi kwamba Ancelotti atimuliwe leo
 
Hapo angekuwa kafungwa arsenal ungesikia watu wasiojua mpira wanasema tatizo la wenger mbahili hataki kununua wachezaji.

Mpaka kipindi hiki cha kwanza inaonyesha neno Team lina maana kubwa zaidi ya majina ya wachezaji
.
 
kidedea kinaanza leo, kidedea kinaanzia hapa, nyumba ya shetani popobawa(chicharito) kaingiaje?
 
arsenal wamewaponza wenzao, wangekubali kufungwa last week chelsea wasingezalilishwa namna hii leo
 
wakuu tupo pamoja chaji imeniishia na tanesco wameshatuhujumu
 
Chelsea wanadai birth certificate ya Ryan Giggs lol...!! Jokes aside so far so good mechi ikaee hivi hivi.
 
Back
Top Bottom