Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Haya kipindi cha pili sasa
Man hata mkishinda Uefa mtakiona kwa Barca
wera wera wera watakalia sana visu leo
AW nisaidie kuhesabu magoli...yakifika 5 omba poa
Pamoja wakuu, tufanye kweli leo, kiasi kwamba Ancelotti atimuliwe leo
nani kama sisi?
kidedea kinaanza leo, kidedea kinaanzia hapa, nyumba ya shetani popobawa(chicharito) kaingiaje?
arsenal wamewaponza wenzao, wangekubali kufungwa last week chelsea wasingezalilishwa namna hii leo
wakuu tupo pamoja chaji imeniishia na tanesco wameshatuhujumu
huyu refa naona anaboa sana kama vile anawapendelea Chelsea
lakini ushindi kwa Man U
so far so gud...
Afu mnasema webb manure...kudadek na pen aliyotunyima
ngapi ngapi?mana siangalii game..thanx