Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Leo ni leo, nilifua jezi yangu ya manchester ili nivae tutakapoenda kuwasulubisha wanaojifanya wajuaji wa chelsea, ila na hii mvua haijakauka hivo nimeianika nyuma ya fridge.
Hureeee viva manchester na mashabiki wake dunia nzima. lazima tuwatoe kamasi hawa mabwana wadogo leo.Hureee uwanja wa nyumbani jamani
miminiko bwawa la maini, tumefuli, ila leo nataka nikaone nani ni nani.....