Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaaa leo tumejitahidi na champion tumechukua......
 
gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
BJ & Co Hongereni sana Wakuu. Mnastahili kuutwaa tena ubingwa wa EPL. Timu yenu inajituma sana uwanjani na wanacheza kwa ari kubwa sana hivyo pamoja na kuwa mara nyingi siwafagilii lakini hakuna ubaya wowote kuwapongeza kwa ushindi mkubwa leo wa mara ya tatu mfululizo dhidi ya Chelsea.
 
Pamoja mkuu.....
 
2mn5gyt.jpg
 
Hongereni kwa ushindi na ubingwa (I can't see any miracle before end of the season). Tumecheza hovyo leo na tumeshindwa kutumia pengo la Evra which is a shame....that fvckn early goal killed us.
 
Back
Top Bottom