Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Mara ya mwisho kucheza bila ya kupata shot on target ilikua 2007 hapo hapo OT.
 
Huyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea
Plastic fans, yani tatizo lenu in kujidai kujua kila kitu! Ndio maana yeye ndio meneja
 
Na mm sijasema alipewa hazard mkuu big fella naye kafanya kazi nzuri sana ya kuharibu mipango ya kina kante na matic pale kati he was gud today. Hii ishapta naona umelishikia bango niwe waz tu big fella sio my favorite player kivile bt huwa sibez shughuli yake na natambua mchango wake pale OT tangu amekuja hivyo yan....
Hebu tuangalie next match mkuu anderletch burnley revival pale ethad tuone tunatoboaje pongez kwa wachezaji pongez kwa JM GGMUFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…