Neymar, Aubemang na Griezman hatuwezi kuwanunua wote kwa mpigo
Mwakani mtakuwa na strike mzuri lakini nafasi kama Hizi azitokuwepooooMsimu ujao tutakiwa vizuri sana endapo tukipata striker wa kutumia nafasi nyingi kama za msimu huu
Hakika mkuu kila game ni ya muhimuSio mchezo, tunahitaji squad yetu yote katika ubora.