Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Martial kapoteza mpira ilikuwa counterattack kali
Even mkhitaryanPoor performance from Pogba & Martial
Baily,Valencia,Carrick,Mikhi were the best United players on pitchEven mkhitaryan
Carrick anazeeka na mpira wake. Jana alikuwa kwenye kiwango bora kabisaBaily,Valencia,Carrick,Mikhi were the best United players on pitch
Sio mchezo, tunahitaji squad yetu yote katika ubora.Mechi zilizobaki
![]()
Aisee uko kwenye mawazo yangu yule dogo hapewi nafasi sijui kwanini na ni kilaka ile mzee.... dogo akipata kocha mzuri au akipewa nafasi atang'aa sanaSijui kwanini Mourhnio hamchezeshi mara nyingi Mensah Fosu hasa midfield kuongeza kasi ya mpira
Kabisa mkuu mimi napendekeza dougras costa wa [HASHTAG]#bayern[/HASHTAG]Nyie pigeni kelele tu ila mjue hatuna winga ya guu la kushoto kumuenzi giggs
game nying xna tunakufa kwa sababu hii Mkuu sijui labda tuone usajilikushindwa kukill the game kunatucost daily na hatulioni hilo
Msimu ujao tutakiwa vizuri sana endapo tukipata striker wa kutumia nafasi nyingi kama za msimu huuPamoja na sare hii lakini kiwango ni cha kujivunia mno
Unaekwa nin ...nan mama sasa!tushazoea mama we