nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,649
EPL round ya kwanza mlikuwa 11 uwanjani mkatembezewa 4 o'clock!Tukiwa 11 tutaweza lakin tukiwa 10 itakuwa ngumu....
EPL round ya kwanza mlikuwa 11 uwanjani mkatembezewa 4 o'clock!Tukiwa 11 tutaweza lakin tukiwa 10 itakuwa ngumu....
Juz pia tulikuwa 9 tumepgwa 1EPL round ya kwanza mlikuwa 11 uwanjani mkatembezewa 4 o'clock!
Kuzidiwa point sio ishu sababu kukufunga wewe haita badili matokeo isipokuwa itapunguza pengo basihaha mkuu kumbuka utacheza na timu inayokuzidi zaidi ya point 15 man u kwa chelsea kwa sasa ni midtable team labda kama unajifurahisha
Nyani haoni kunduleKuna Watu Walitangaza Ndoo 3 hapa...! Lakini Moja Mumeshabeba, Na Mona Mushatupwa Nje Ya Fence... Bado moja.....
My Take: Mutaendelea Kutolewa Kila Kombe.....
Kutufunga chelshit haina maana UNITED ni mbovu kwa mtazamo wako, kuongoza ligi kusikupe jeuriKama wew yako ilivyo ya kawaida sana ..yani tangu 2012 hujatufunga huoni kama timu yako ni mbovu kuliko![]()
![]()
laana ya ubaguzi wa rangi dhidi ya Mikel Ob itawatafuna tu; mpaka pale mtakapoenda China kumuomba radhi. Nyambafu!!!!
Time will tellHahahaha haupo siriazi mkuu tunaweza tukawapa tena na tena na tena biashara ikaisha.
Chelsea ni timu ndogo mno uwezi jifananisha na Man United Sawa na kufananisha kitambi na mimba tutoka kante amesajiliwa na chese amefunga goli 2 na zote amefunga man u kwenye ligi mkiwa 11na kwenye fa mkiwa 10 baada ya kuleta vurugu
vip kuhusu pogba siku mlipocheza na bournmouth wakiwa pungufu huyo pogba alionekana?
Unajisikiaje kitambi kinaongoza league na kimekupiga mechi mbili mlizokutana nacho we mimba?Chelsea ni timu ndogo mno uwezi jifananisha na Man United Sawa na kufananisha kitambi na mimba tu
Kuna kipindi kitambi kinauzidi mwili kwa sababu ya uzembe tuUnajisikiaje kitambi kinaongoza league na kimekupiga mechi mbili mlizokutana nacho we mimba?
ni kweli unachokisema ila kuhusu kumsajili lukaku katika utawala huu wa mourinho kwa mtazamo wangu ni vigumu kwa sababu mourinho ndiye aliyemuondoa lukaku chelsea na sifikirii kama atakubali kula matapishi yake, jaribu kufikiria kinachomkuta mata. nahisi upo uwezekano mkubwa wa kumsajili harry kane kuliko lukaku ila nafikiri atavunja rekodi ya pogba kwa sababu kwanza ni muingereza halafu kiwango chake cha ufungaji kimeongezeka na pia ana mkataba mkubwa sana pale spurs.kivyovyote lazima msimu ujao tufanye tena mabadilko.Kwa upande wa striker me naamini lukaku is one of the finest striker compare to greizman au kane aneza akabeat Two defender even three and score we need that kwa upande wa midfield tunahitaji sana mtu kama kroos ingawa rumors zinasema bado wana tafuta sign ya Yule mholanz Kevin strootman na pia we need defender kwa kwel sio kwa smalling huyu tuliye naye labda namba mbili anaeweza kupanda na kushambulia kama ilivyokuwa kwa Rafael turudishe mfumo wetu wa kutumia wingers
hahahahahaaa katika maisha yangu nimeshuhudia kupatwa kwa jua hapa Tanzania ila leo nimeshuhudia kupatwa kwa kejeli na dharau. heshima kwako NyageiKuna kipindi kitambi kinauzidi mwili kwa sababu ya uzembe tu
Pogba kabadili tena hair style duuuh
Unadhan nan anafaa?Nyie pigeni kelele tu ila mjue hatuna winga ya guu la kushoto kumuenzi giggs