Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

patamu hapo...

huku LFC mambo yapo hivi... ni zile unaweza kuziita ni "winnable" fixtures lakini msimu huu LFC vs hizi zinazoitwa "timu ndogo" ni shida!!

Bournemouth (home)
Stoke City (away)
WBA (away)
Crystal Palace (home)
Watford (away)
Southampton (home)
West Ham (away)
Mido (home)
hahahahahaaaaa upo sahihi lakini izo mechi unaweza kuzichezea kamari ya ushindi
 
kama ilivokawaida ya media za england macho yote yapo manchester, hasa kwa kinachoendelea kati ya jose na shaw, wataokoteza okoteza vihabari ilimradi Manchester ihusishwe,

The times wanadai Jose na shaw hawajawahi kuongea toka kwenye ile game na Bournemouth (zaidi ya mwezi sasa nadhani)

samuel Luckhurst anadai shaw pia hana mahusiano mazuri na baadhi ya wachezaji wenzake, kwenye mazoezi hajitumi na haoneshi hata kujali, na kuna hata baadhi ya wachezaji wamekili hilo.

Pia kuna report zinasambaa kwamba tumeanza kutafuta replacement yake, Kieran Tierney toka celtic ndio anazungumzwa sana.

Shaw anatakiwa ajitambue, pochettino, LvG, sasa ni José wote kazinguana nao, Anatakiwa ajue anachezea Manchester utd one of the biggest club in the world, he has to fight for the badge, kuna thousands of players ndoto yao ni angalau tu kugusa nyasi za OT, kama hayupo tayari kujituma na kupigania namba he can fvck off.
 
Mourhnio tofauti yake na Van Gaal ni ipi mbona wote pointi ni sawa kwa mechi sawa?

Screenshot_2017-04-03-20-27-00.png
 
G Neville: "Mourinho has said some harsh things about a few players this season at times, not just Shaw, & others have responded." [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
 
Shaw requested a meeting with jm yoday

Luke Shaw back in Manchester United squad for Everton clash after clear-the-air talks with Jose Mourinho dailymail
 
kwenye ile game ya liverpool vs everton kuna baadhi ya mashabiki wa liverpool walikua wanaimba nyimbo za kumdhihaki coleman alivokua kavunjika mguu wakati akiwa kwenye NT.

hata wiki haijaisha klopp kasema mane anaweza akakosa mechi zote zilizobaki za huu msimu.
what goes around its comes around
 
wachezaji walioonekana jana hotelini kwajili ya mechi ya leo

pogba
shaw
lingard
herrera
carras
timmy
Pereira
romero
Ddg
zlatan
big fella
rashford
blind
rojo
bailly na Damian
 
wachezaji walioonekana jana hotelini kwajili ya mechi ya leo

pogba
shaw
lingard
herrera
carras
timmy
Pereira
romero
Ddg
zlatan
big fella
blind
rojo
bailly na Damian
Rushford na mikhtar wanahitajika sana kwenye 1st 11 sidhani kama watakalishwa bench...
 
wachezaji walioonekana jana hotelini kwajili ya mechi ya leo

pogba
shaw
lingard
herrera
carras
timmy
Pereira
romero
Ddg
zlatan
big fella
blind
rojo
bailly na Damian
Where're Micki, Martial and Wazza?
 
i know nothing about valencia and martial, but wazza always arrive at the hotel on his own, and mick lives there.
Aaah! Very well, then i believe all shall be there since Mou promised to field a strong squad available
 
Nafikiri Mou amefika mbali kwenye competitions nyingine mbali na EPL, may be mwisho wa msimu atakuwa na more trophies na UCL spot. Tusubiri mwisho wa msimu ndio tuwapime, vyombo vya habari lazima viandike haya ili viuze
Ni kweli
 
Huyu Ronaldo ni Judas sasa anarudi Manutd kinamna wakati kiwango nacho kimeanza kushuka.

Screenshot_2017-04-04-09-06-37.png
 
Hawa Everton huwa wagumu lakini kutokana na hizi droo ninatabiri mvua ya magoli leo.

Manutd 3-1 Everton

Screenshot_2017-04-04-17-22-52.png
 
Back
Top Bottom