Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,009
- 4,769
oooops...afadhali atukutani na Samatta. Tunaanzia ugennini let's go reds ggmu![]()
oooops...afadhali atukutani na Samatta. Tunaanzia ugennini let's go reds ggmu![]()
Kwa hiyo ulikuwa unaogopa Spanish team..?Borah atujapangiwa Spanish team wabaya sana ila hope we will reach semi final
kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafunaNimeona Rojo akila ndizi ...
What happened?
kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna
mkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilikaFellaini leo anawakawaka
kaka....imekuwaje tena ghafla from no where unanitukana??Utakua na ugonjwa wa akili.
mkuu,mbona umenitukana??unaweza ukaniambia nimekosea wapi kustahili kuambiwa maneno haya??Utakua na ugonjwa wa akili.
Alikula ndizi. Marcos Rojo alionesha dalili za kubanwa na misuli. Sababu kuu ya kubanwa na misuli ni upungufu wa sukari(glucose) ndio maana tiba ya kwanza ya haraka ni kula ndizi au chocolate.kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna
Yaani Mourhnio ni kocha siyo utani wachezaji Wengi viwango juumkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilika
Dooh!!kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna
Hahaha safi sana wewe ulipitia Form one B,.........siyo kama .....DB....mie simooooooo!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......(hapo occupies)

Alikula ndizi kuongeza sukari>nguvu mwilini. Ni kawaida kuzuia cramp. Sometimes wanakula chocolate.Dooh!!
Nouma sana..
Licha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambuliaRojo naona taratibu anazidi kung'aa pale OT
Alipanda sababu ya ya Rostov walikuwa wanazuia muda mwingi kuliko kushambulia ndio maana anapanda panda sana mpaka kutoa crossLicha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambulia