Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Japo tumetolewa ila leo nimekubali sana kiwango cha rojo!! huyu jamaa anafaa sana pale nyuma!! Degea nae ameonyesha uimara sana!! ni ukweli usiopingika kwamba leo tumeweza wazuia hawa jamaa!! kila nikikumbuka zile 4, naona kabisa gemu ya leo tumejitahidi sana!! tutakutana nao tena ligi kuu....TUTAWANYOOSHA HAKYANANI!!
