Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Pogba acheza faulo ni kama hayuko uwanjani
Daah! Mkuu tunashambulia vipi wakati sasa hivi tunakaba tuu ili tusiongezwe goli...Dah. Mbona tunashambuliwa hivi?
Kazi tunayo mkuu!Pogba akosa bao apiga nje
Kante mkuuKonte ni mchezaji bora maradufu kumshinda Pogba
Smalling au Costa?Yellow kwa Smalling