Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Angalau tumehamia langoni kwao lakini tumepigwa counterattack alimanusura wamalize mechi
Hatujafanya chochote leoPamoja ya kuwa tumefungwa ila mpira tumewapigia..
Ndo uwezo wenu ulipoishia.Dah. Mbona tunashambuliwa hivi?
Afadhali useme wewe. Ukichunguza vyema nyie ndommebebwa leoValencia aliruka kwa daruga zote mbili refa kameza ingeweza kuwa red card