Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Haha,Angalizo:- jumatatu tusilaumiane hapo Trafford ya kale kwa mpira mnaoucheza.week end njema tukutane super Monday
Mr. Unatupa onyo sindio?
Mambo ya kandanda bwana timu yako ikiwa katikafomu nzuri sana na Ushindi kedekede unahisi dunia ni yako kabisa kabisa.

