Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Akifeli atoke kama walivo toka wenzie
Mpaka ajiuzulu mwenyewe Mimi ndio nataka.

Lakini yupo Makini Jose atatuvusha, Japo kipindi cha nyuma shabiki wengi wa man united tulikuwa tunamkandia kwamba ni Mtu wa kupaki basi.
 
Ujue nikiangalia hata tim yetu sioni kana ni material ya kuingia top 4 , yaan tutakuwa hatujaitendea haki ligi.
Ila akifanya poa abaki, akifeli asepe
 
Kwenye kufunga magoli Rooney wa sasa hawezi kumfikia Zlatan,labda Rooney wa miaka 10 iliyopita
Shida ni nafasi tu hajapewa lakini naamini kama nafasi anayocheza ibra angepewa captain usingethubutu kuandika haya, nafasi anazotengenewa ibra ni nyingi kupita kiasi, anazozitimia vizuri vizuri ndo zinapelekea niandike haya nnayoandika
 
Mkuu, tupo pamoja Ibra anakosa sana magoli ila Rooney kusimama kama main striker hapana, tatizo washabiki wengi sisi wa United tunaamin Rooney ni yuleyule wakati kiukweli jamaa uwezo umepungua kutokana na umri wake na upambanaji wake wa miaka zaidi ya 10, nadhan tunatakiwa tupate striker mwingine mbadala kabisa.

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
Na kiwango chake kushuka sio kwa ibra, bado naamini captain ni bora kuliko ibra
 
Shida ni nafasi tu hajapewa lakini naamini kama nafasi anayocheza ibra angepewa captain usingethubutu kuandika haya, nafasi anazotengenewa ibra ni nyingi kupita kiasi, anazozitimia vizuri vizuri ndo zinapelekea niandike haya nnayoandika
Lets be serious waliuzwa kina Chicharito,Wellbeck & RVP kumpa Rooney nafasi tangu SAF ameondoka nani alikuwa striker wa United ?
Rooney ni mpiganaji (work rate) ni kubwa akiwa uwanjani lakini uwezo wake kama mshambuliaji kwa sasa sio wa kumfananisha na Ibra hata kama anakosa magoli.Hata kama unamweka benchi Ibra striker wa kumreplace ni Rashford au Martial na sio Rooney .
 
Lets be serious waliuzwa kina Chicharito & RVP kumpa Rooney nafasi tangu SAF ameondoka nani alikuwa striker wa United ?
Rooney ni mpiganaji (work rate) ni kubwa akiwa uwanjani lakini uwezo wake kama mshambuliaji kwa sasa sio wa kumfananisha na Ibra hata kama anakosa magoli.Hata kama unamweka benchi Ibra striker wa kumreplace ni Rashford au Martial na sio Rooney .
Acha uongo, nani kakwambia chicharito na rvp waliuzwa kwa sababu ya kumpa nafasi rooney? Kwani wakati wapo alikua hachezi?
 
Unasema Rooney hajapewa nafasi tangu SAF amestaafu nani alikuwa striker no 1 wa United ?
 
Napenda discussion inayoendelea humu..

Mchango wangu ni kwamba, kuliko kumuweka rooney bora Zlatan aendelee...

Bora tununue strikers wapya kabisa..

Tuna crisis ya strikers United.
 
Mimi Si Mshabiki Wa Man U lakini to be honest Ziwezi Kumueka Benchi Ibra nikamchezesha Rooney Hata Siku Moja!
Ubovu wa Chui si Uzima Wa Paka! Na Uzee wa Ibra si Uzima Wa Rooney
 
Unasema Rooney hajapewa nafasi tangu SAF amestaafu nani alikuwa striker no 1 wa United ?
Usinilishe manene mkuu, nionyeshe wapi nimesema rooney hajapewa nafasi toka alipoondoka SAF?
 
Napenda discussion inayoendelea humu..

Mchango wangu ni kwamba, kuliko kumuweka rooney bora Zlatan aendelee...

Bora tununue strikers wapya kabisa..

Tuna crisis ya strikers United.
Sipingi kununuliwa striker mpya, naomba hilo liwe kipaumbele cha timu ila kwangu rooney ni bora mara 10 kuliko lile lizee
 
Bora amepigwa ban na FA, sasa ngoja tuone kama ataiathiri chochote timu
 
Sipingi kununuliwa striker mpya, naomba hilo liwe kipaumbele cha timu ila kwangu rooney ni bora mara 10 kuliko lile lizee
Nipe stats za ufungaji wa rooney kwa misimu mitatu iliopita..
Huwezi kum-underate Zlatan kwa mechi ya juzi..
Hata Griezman anaweza akazingua vilevile.
Class is permanent and Form is temporary.
Zlatan is way better than Rooney ukilinganisha form yao ya sasa hivi..
 
Utamlinganishaje wakati kwa muda mwingi rooney kachezeshwa kama kiungo? Hakua mshambuliaji wa mwisho, alitumika kama daraja la kuwalisha washambuliaji, au hamna kumbukumbu? Laiti kama angechezeshwa kama mshambuliaji wa mwisho, hiyo rikodi ya mabao 250 angekwishaiweka miaka 3 iliopita
 
Shida ni nafasi tu hajapewa lakini naamini kama nafasi anayocheza ibra angepewa captain usingethubutu kuandika haya, nafasi anazotengenewa ibra ni nyingi kupita kiasi, anazozitimia vizuri vizuri ndo zinapelekea niandike haya nnayoandika

Hii akaunti huwa mnaitumia watu 2 tofauti ?
 
Utamlinganishaje wakati kwa muda mwingi rooney kachezeshwa kama kiungo? Hakua mshambuliaji wa mwisho, alitumika kama daraja la kuwalisha washambuliaji, au hamna kumbukumbu? Laiti kama angechezeshwa kama mshambuliaji wa mwisho, hiyo rikodi ya mabao 250 angekwishaiweka miaka 3 iliopita
Ukiulizwa maswali jitahidi kuyajibu,

1.Tutajie striker namba moja wa United na England tangu Ferguson amestaafu ?
2.Unafikiri kwa nini makocha wa England/United waliamua kumchezesha Rooney kama kiungo badala ya striker?
 
Back
Top Bottom