Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu umeandika kweli tupu, kama ningekuwa mou Rooney angecheza nafasi ya ibra na kwasababu naamini Rooney ni mtu wa kulazimisha na pia ningemlazimisha asizunguke uwanja mzima.. Rooney anatabia ya kuzunguka uwanjani muda wote akikaba na kutafuta mipira,sasa hii inamchosha na kumfanya asiwepo kwenye nafasi yake!

Kinachonifanya nisimkubali ibra japo ametusaidia sana ni vile hana uwezo wa kupambana na mabeki akikabwa kidogo anaachia mpira na wala haangaiki kuutafuta.. Rooney ni mpambanaji na hakubali kushindwa kizembe.

Hili la bastian me hata mou simuelewi maana alimpanga na akaonesha mpira wa maana sijui kwanini hampangi tena!

Timu nzima inamtegemea Zlatan afunge,sijui ni mou amewaambia ni lazima afunge ibra?
Narudia tena mkuu niliwahi kusema kama ulivoandika kuhusu rooney na ibra nikaambiwa niache mahaba kwa rooney, nashukuru kumbe wapo wenzangu wanaona kama ninavoona mimi
 
Ulisema kweli mkuu, uwezo wa ibra wa kuwalazimisha mabeki ni mdogo sana ukilinganisha na Rooney..

Subiri asifungiwe halafu game na Chelsea awepo uone kina luiz watakavyomficha..
 
Na pogba anaongoza kukosa magoli ya wazi sana bora zlatan yani pogba one on one na kipa hafungi. Kwa ujumla timu nzima ni hovyo kwenye ufungaji. Zlatan afungiwe kidogo tujaribu mtu mwingine pale mbele.
ni kweli unachokisema The Great Emanuel kuwa timu nzima ni majanga kwenye ufungaji kwa kuanzia na martial ambaye mimi binafsi simuamini.
niliwahi kuandika humu kama martial akiwa makini atakua hodari kuliko antonio griezman na bale
 
Narudia tena mkuu niliwahi kusema kama ulivoandika kuhusu rooney na ibra nikaambiwa niache mahaba kwa rooney, nashukuru kumbe wapo wenzangu wanaona kama ninavoona mimi
Kwenye kufunga magoli Rooney wa sasa hawezi kumfikia Zlatan,labda Rooney wa miaka 10 iliyopita
 
Ulisema kweli mkuu, uwezo wa ibra wa kuwalazimisha mabeki ni mdogo sana ukilinganisha na Rooney..

Subiri asifungiwe halafu game na Chelsea awepo uone kina luiz watakavyomficha..
nikimuangalia ibra na jezi namba 9 mgongoni namkumbuka dimitar berbatov (super glue) alipokua manchester Sir Alex alikuwa akimweka nje kwenye mechi nyingi kwa ajili ya chicharito.
 
Kwenye kufunga magoli Rooney wa sasa hawezi kumfikia Zlatan,labda Rooney wa miaka 10 iliyopita
ni kweli mkuu Ibrahimovic anafunga sana hatujakataa ila si mpambanaji,inafika wakati anashindwa hata kumpiga chenga mtu mmoja.
 
Tatizo la United sasa ni kufunga magoli sio kupambana,kina Chicharito,Berbatov,Nistelrooy hawakuwa wapambanaji walikuwa wafungaji
 
nikimuangalia ibra na jezi namba 9 mgongoni namkumbuka dimitar berbatov (super glue) alipokua manchester Sir Alex alikuwa akimweka nje kwenye mechi nyingi kwa ajili ya chicharito.
Kitu pekee nilichomkubali huyo mtu ni vile alikuwa hapotezi mpira kizembe..mpira ukiwa miguuni kwake unakuwa na amani.. Ila ibra anapoteza sana mipira
 
Chama cha mpira wingereza FA,
IBRA kupingwa burn ya game 3.pamoja na mwenzake
 
Mkuu umeandika kweli tupu, kama ningekuwa mou Rooney angecheza nafasi ya ibra na kwasababu naamini Rooney ni mtu wa kulazimisha na pia ningemlazimisha asizunguke uwanja mzima.. Rooney anatabia ya kuzunguka uwanjani muda wote akikaba na kutafuta mipira,sasa hii inamchosha na kumfanya asiwepo kwenye nafasi yake!

Kinachonifanya nisimkubali ibra japo ametusaidia sana ni vile hana uwezo wa kupambana na mabeki akikabwa kidogo anaachia mpira na wala haangaiki kuutafuta.. Rooney ni mpambanaji na hakubali kushindwa kizembe.

Hili la bastian me hata mou simuelewi maana alimpanga na akaonesha mpira wa maana sijui kwanini hampangi tena!

Timu nzima inamtegemea Zlatan afunge,sijui ni mou amewaambia ni lazima afunge ibra?
Mkuu, tupo pamoja Ibra anakosa sana magoli ila Rooney kusimama kama main striker hapana, tatizo washabiki wengi sisi wa United tunaamin Rooney ni yuleyule wakati kiukweli jamaa uwezo umepungua kutokana na umri wake na upambanaji wake wa miaka zaidi ya 10, nadhan tunatakiwa tupate striker mwingine mbadala kabisa.

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
Linafahamika,Umakini katika goli la wapinzani.
Safu ya ushambuliaji bado haijatulia vyema.
Ujue kama tatizo ni hilo ilibid liwe lisha kwisha maana lipo lina miez sasa.
Ukute kocha hajaona kama ni shda
 
Jose kashaliona tatizo,Ndio maana hata mechi ile ya weekend ilikuwa ngumu kumtoa Ibra kwa sababu hakuna mbadala,anasubiri Majira ya Joto usajili.
 
Sawa ngoja tusubiri
Tunapofunga mahesbu mwisho wa msimu ndio tutachambua mambo vzuri
 
Sawa-sawa!
Na Mimi naomba Jose abaki pale Old Trafford yeye sibingwa wa kukaa muda kidogo kwa klabu kisha anaondoka bila kumaliza mkataba, Naomba uongozi wa klabu wamuache kabisa Mpaka amalize Mkataba wake hata kama Matokeo yatakuwa mabovu.

Adhihilishe utaalamu wake katika Soka pale Old Trafford.
 
Sawa ngoja tusubiri
Tunapofunga mahesbu mwisho wa msimu ndio tutachambua mambo vzuri
Sawa-sawa.
Na Mimi naomba Jose abaki pale Old Trafford mpaka Mkataba wake uishe ili adhihilishe utaalamu wake katika Soka.
 
Back
Top Bottom