Gemu ngumubkwetu bt safari inaanzia kwao....Hatuko vizuri sana upande wa kushambulia na hao warusi ni wazuri kwa kudefence ukiangalia na hali ya hewa ya urusi baridi kali sana, game ngumu kwetu
Hahahaaaaaa Mkuu alafu sijaelewa kwanini wameamua ku-editKabla
![]()
Baada
![]()
Man utd akichukua efl anakuwa most club with many honors means vikapuHahahaaaaaa Mkuu alafu sijaelewa kwanini wameamua ku-edit
Celta Vigo unawachukulia poa sanaNaomba nitabri fainari ya Europa
Ni Man utd vs Roma/ajax.
Timu mbovu?Timu mbovuuu mpooo...
sare inatoshaHatuko vizuri sana upande wa kushambulia na hao warusi ni wazuri kwa kudefence ukiangalia na hali ya hewa ya urusi baridi kali sana, game ngumu kwetu