Europa/Champions League haingiliani na Premier League.Hebu nisaidieni kitu hapa hivi red card ya Eric anhama nayo hadi PL au inabaki huko huko Europa
Msaada wa kuelewwshwa plz
ThanksEuropa/Champions League haingiliani na Premier League.
Atakosa first leg ya last 16.
Mbishi kule namuona Shakhtar Donets huyu mtataDraw ya Europa itakua siku ya Ijumaa, na mechi za 16 bora zitachezwa tarehe 09/03 na tarehe 16/03
Utd kucheza EUROPA inaongeza ladha na hadhi ya hayo mashindanowanaotucheka tunavyocheza alhamisi mbona hawajaja kushangilia leo tumecheza jumatano