Despite Chelsea's current form, we need a revenge for that 4-0 defeat. Hopefully we will winWe have won seven of our last nine FA Cup ties v Chelsea, but have lost the last two (2007 Final, R6 in 2013). History. [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Hahhahahhaah nyie watu mmejua kunifurahishaaaaa!! Sijui na mimi nisemaje naipenda kuzidi mume wangu hahhahhaha loooh siri ninayo mwenyeweSidhani kama nitampenda mke wangu kama hii timu.![]()
Yani kuna wakati ukiiwaza Manchester United unajikuta una smile tu. Hata kama ni wa 6, tabasamu haliishi mdomoni.
Natumai ntampenda mke wangu kama nnavyopenda hii timu.
Tutashinda.Sasa ni Draw ya FA Cup
Duh tumepangiwa kucheza na Chelsea
Hahhahahhaah nyie watu mmejua kunifurahishaaaaa!! Sijui na mimi nisemaje naipenda kuzidi mume wangu hahhahhaha loooh siri ninayo mwenyewe![]()


True mkuu sanaChristopher samba, mame alhaj diuf wakina Nelson duh kitambo sna
Uko sahihi maanake hio 2008 Chelsea ilikuwa sehemu ya Burger tuliyokula!
Uko sahihi maanake hio 2008 Chelsea ilikuwa sehemu ya Burger tuliyokula!
2017 hio burger ina kila dalili ya kurudi kama 2008...unaweza kuwa sehemu ya hio burger soon!Hahah na 2017 hiyo baga kila mtu anachomoa akipendacho...mpaka April itakuwa imeisha!!!