Imeandikwa "akupigae shavu la kushoto mgeuzie na la kulia"Ni wakati wetu wa kwenda kulipa kisasi.
Esabu umeshatoka tiyari ..wala usitie shakaSina mashaka kabisa dhidi ya Chelsea

si haba ngekewa wakiwa wengi wanajaza kibaba.Roho juu ushindi wa ngekewa, hongereni. Niliacha kuangalia ikiwa 1-1.
kwa kweli bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa.hahahahaha eti timu nyingine lol! hata wapinzani wenu hujui wanaitwa nani? Hongereni lakini si haba kama mtaweza kushinda kikombe cha uchochoroni/kombe mbuzi 🙂
kwa kweli bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa.
yah and now we're enjoying the ride.On point Mkuu, hongera sana it is a good sign that your team is on the right track.
yah and now we're enjoying the ride.
Tutaona akiliaChelsea lazma alie....
I do hope for the best. thanksI know good luck and all the best, hopefully you'll be able to move from your current 6th position to 3rd or 4th position in order to participate in 2017/2018 UEFA Cup.
Wazee wa simba na yanga.... Hiyo ndo tofauti ya kwetu na waoo...Hii ilitakiwa kuwa fainali ndo FA ingenoga
Hili neno "Esabu "ni jipya kwangu!Esabu umeshatoka tiyari ..wala usitie shaka![]()
![]()
hahahahaha eti timu nyingine lol! hata wapinzani wenu hujui wanaitwa nani? Hongereni lakini si haba kama mtaweza kushinda kikombe cha uchochoroni/kombe mbuzi 🙂
Anajua kulibeba ni ngumu safar hii wababe wote wamelitolea machoKombe la mbuzi? Ina maana timu yako imeshatoka?