Patamu hapoChelsea Vs Manchester United dah kazi ipo F.A
Chelsea Vs Manchester United dah kazi ipo F.A
Hii ilitakiwa kuwa fainali ndo FA ingenogaChelsea vs Man United FA Cup
Mkuu robo fainali ukipigwa unatoka au kuna marudiano ya away na home..??![]()
Hawa FA wanataka fainali ichezwe mapema kabisa nn GGM
Mkitoka dro/sare mnarundiana upande wa piliMkuu robo fainali ukipigwa unatoka au kuna marudiano ya away na home..??